Here are some lyrics to a new song I know you MIGHT never
hear on your favourite radio station:
AGANO:
"So close
so cross the river ingia slums
uone kidole iko
so close na trigger
so bro na shinda
so close na shida
ndio maana sitaki bibi yuko
so close na FIDA
hata kaa yuko so mmmmmwaaa! na FIGA
..............
ni hii flow kwa KEYZ
kaa za ALICIA
na keyboard kwa giza
.......
juu cheque me ndio SINA
bike na BIMA"
LABALA:
"ni kikupa food ya fikra lazima upate ulcers
ni kitupa show na kusihi usije after
baada ya mi msanii nani atafunza jamii
baada ya hii kisanii ni lazima tu MAJANI
baada ya hii verse mi nataka niume LAMI
baada ya hii kazi mi wengi wata ni tamani
...........
natamani kula vyangu kabla jua halijaanguka
natamani kuwa mwenzangu ale kama sijaanguka
sitamani kuwa mwenzangu ajue tu KUBANJUKA
........
niwe timam kwa kila issue
si kila IMAM hapendi tissue"
Thursday, January 31, 2008
Get a listen!
Posted by Cante at 9:57 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
I abso-frigin-lutely have to get that track man....Sema!! Long time...
Post a Comment